Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Monday, July 19, 2021

RAIS SAMIA SULUHU AMEGUSWA, TOZO


 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. mwigulu nchemba amesema Serikali imesikia kilio na maoni ya wananchi kuhusu tozo mpya ya miamala ya simu na kuwaomba wawe watulivu wakati jambo hilo linapatiwa ufumbuzi

"Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates