Nyota wa muziki hapa nchini 🇹🇿 @rayvanny amedokeza ujio wa Sehemu ya Pili ya Ep yake #Flowers#Rayvanny Amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa instagram (Insta-Story) kwa kuandika ujumbe ulioashiria kuwa ni muendelezo wa Ep yake #Flowers
"Flowers II.........Coming Soon" ✍....@rayvanny
Ikumbukwe kuwa Ep yake ya #Flowers ilitoka February mwaka Jana, kwenye msimu wa wapendanao #Valentine, ikiwa na jumla ya Ngoma 8 kama (Naogopa, One, Mama La Mama, Teamo, Vumilia, Ex Boyfriend, I Love You, Sweety Melody)
Hivyo kwa wale Mashabiki Wa star huyu mkae mkao wa kuipokea Ep hiyo ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni

0 comments:
Post a Comment