Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, July 16, 2021

N_Ent; WIMBO WA IN MY BED WA ROTIMI WAGONGA GOLD KWENYE MAUZO.

 


 Ikiwa ni takribani miezi 20 imepita tangu msanii @rotimi aachie wimbo wake ‘In my Bed’ aliomshirikisha rappa @wale, tayari wimbo huo umefanikiwa kugonga Gold kwenye mauzo yake sokoni.


Kwa maana hiyo wimbo huo ndani ya miezi 20 umeuza nakala (Copy) zaidi ya 0.5 milioni nchini Marekani.

Kutokana na hatua hiyo tayari chama cha Recording Industry Association of America (RIAA) kimempongeza @rotimi, hivyo atakabidhiwa cheti maalumu na chama hicho.

Wimbo 'In my Bed' ulitoka rasmi Desemba 30, 2019 na video yake ilipandishwa rasmi YouTube Septemba 17, 2020, mpaka sasa video hiyo imefikisha watazamaji (Views) Milioni 32.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates