Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, July 16, 2021

N_Ent; VIDEO YA NELLY `DILEMA` YAFIKISHA WATAZAMAJI BILIONI 1 KWENYE MTANDAO WA YOUTUBE.


  Video ya Muimbaji @nelly iitwayo #Dilemma ambayo amemshirikisha mwanamama @kellyrowland ikiwa na takribani miaka 11 tangu itoke, imefanikiwa kufikisha views Bilioni 1 kwenye mtandao wa YouTube.


Video ya wimbo huo ambao ulipandishwa YouTube Oktoba 6, 2009, ulitoka rasmi Julai 30, 2002 ukiwa ni wimbo wa tatu kuachiwa kutoka kwenye albamu ya Nelly iitwayo Nellyville, ambayo ilitoka Mei 2002.

@nelly kupitia ukurasa wake wa Facebook amewashukuru mashabiki wake kwa kuiwezesha video ya #Dilemma kufikisha Views BILIONI 1.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates