Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, July 16, 2021

N_Ent; ALBUM `FAITH` YA MAREHEMU POP SMOKER INATOKA IJUMAA YA LEO JULLY 16,2021.

 


 Album mpya ya rapper #PopSmoke inatarajiwa kutoka rasmi Julai 16 mwaka huu (Ijumaa hii), kwa mujibu wa Steven Victor ambaye ni Meneja na msimamizi wa MUZIKI wa PopSmoke.


#PopSmoke ambaye ni marehemu kwasasa hii inakua ni album yake ya pili kutoka tangu rapper huyo afariki, mwaka 2020 ilitoka album yake "Shoot For The Star's, Aim For The Moon".

Tangu afariki, marehemu #PopSmoke kupitia kazi zake alizoacha amefanikiwa kushinda tuzo ya BET Hip Hop Award, Grammy na tuzo nne za Billboard Music Awards katika nyakati mbalimbali.

Ujio wa album hii mpya utamfanya rapper huyo kuendeleza kuweka rekodi nyingine licha ya kwamba tayari alishafariki lakini kazi zake zinaendelea kuishi.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates