Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, July 16, 2021

N_Ent; IGGY AZALEA ATANGAZA KUACHA KUFANYA MUZIKI BAADA YA KUTOA ALBUM.


 Rapa kutokea nchini Australia @thenewclassic (IGGY AZALEA) ametangaza kuacha muziki kwa muda


#Iggy kupitia ukurasa wake wa twitter amethibitisha taarifa hii kwa kuandika kuwa baada ya kutoa Album mpya itakayofuata ataacha kufanya muziki kwa muda

Aidha, star huyu ametaja sababu ya hayo yote kuwa ni atajikita kwenye maswala mengine mbalimbali nje ya muziki

Pia katika taarifa yake hiyo ametoa muda wa kuachia Album yake mpya ambao ni mwezi ujao (August)

Nyota huyu ni hitmaker wa ngoma kama vile #Fancy(2014), #Team pamoja na #NoMediocre aliyoshirikishwa na rapa T.I

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates