Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Thursday, July 15, 2021

MVUA KUBWA UJERUMANI.


 Mvua kubwa iliyonyesha magharibi mwa Ujerumani imesababisha mafuriko na kuua Watu 11 huku Watu zaidi ya 50 wakiwa hawajulikani walipo.

Vikosi vya uokoaji Ujerumani na Polisi wametumia Helikopta kuokoa Watu mbalimbali ambao walikua wamepanda juu ya nyumba zao baada ya kuzingirwa na maji

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates