skip to main |
skip to sidebar
MSONGO WA MAWAZO WAMTESA BABU TALE.
Kuna vitu omba visikukute katika maisha yako. Usiombe uondokewe na mke au mume. Mimi napitia maisha magumu sana kila ukiona unakaribia kukaa sawa kumbe unajiona bado maumivu hayaishi maana leo nina siku ya tatu naamka tisa usiku vilio na maumivu yasio isha. Sijawahi kutamani kukutana na mwana saikojia ila kwa sasa nahitaji kwakweli maana hali yangu sio nzuri kwenye hiki ninachopitia namkumbuka sana mkewangu. Mungu aendelee kukulaza mahala pema Mama TT
0 comments:
Post a Comment