Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Thursday, July 15, 2021

IRINA SHAYK AKATAA OMBI LA RAPA KANYE WEST.


 Nguli wa muziki wa rap na mjasiriliamali tajiri kutoka Marekani #KanyeWest yupo kwenye njia panda baada ya ombi lake la kuwa mpenzi wa model Irina Shayk.


Kwa mujibu wa Page Six, Irina alilipiga chini ombi la #Kanye la kuambatana nae hadi Paris, Ufaransa kuhudhuria show ya wanamitindo lakini mlimbwende huyo alikataa huku akidai kwamba kwasasa anafurahia kuwa single na hivyo angependa Kanye na yeye wawe tu marafiki.

Wawili hawa walidaiwa kuwa wapenzi hii ni baada ya kuonekana wakila bata huko Paris mwezi uliopita wakati wakisherehekea miaka 44 ya kuzaliwa kwa Kanye.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates