Breaking News:Habari zilizotufikia muda huu zinasema kuwa kumezuka mapigano kati ya Waislam na Wakristu huko Geita Mwanza na inadaiwa mtu mmoja amepoteza maisha kufuatia sakata la uchinjaji nyama ambapo inasemekana wachungaji wa kanisa la AIC wamewatangazia waumini wake kutokula nyama inayochinjwa na Waislam na kwamba leo wakristo wa eneo la Buselesele wamefungua Mabucha yao na kuanza kuuza nyama. Tutaendelea kuwaletea taarifa zaidi kuhusiana na habari hii habari.
0 comments:
Post a Comment