Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Sunday, July 11, 2021

WATU KADHAA WAKAMATWA KUFUATIA MAUAJI YA RAIS HAITI



 Maafisa wa serikali ya Haiti wamewaomba wananchi kuwa watulivu wakati wanaendelea na uchunguzi kufuatia mauaji ya Rais wa nchi hiyo, Jovenel Moïse, huku kundi la washukiwa 28 kati yao ishirini wamekamatwa. Mkuu wa idara ya polisi kitaifa,Haiti bwana Le`on Charles alizungumza na waandishi wa Habari nchini humo jana July 9 na kutoa idadi ya watu waliokamatwa japokuwa hakusema ni ipi sababu iliyo chochea mpaka kutoa shambulio hilo llilosababisha mauaji ya Rais wa Haiti yaliyotokea tarehe 07 july 2021, pia kamata leon amewataka wananchi wawe na utulivu kwa kipindi hiki cha maombolezo wa Rais wao  Jovenel moise.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates