Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Wednesday, July 14, 2021

MKAPA FOUNDATION YAENDELEZA SHUGHULI ZAKE ZA UTENDAJI KAMA KUMUENZI HAYATI MKAPA.

 



Dr Ellen Mkondya-Senkoro ni Mkurugenzi wa @mkapafoundation. Hayati Mzee Benjamini Mkapa alimuamini na kumpa nafasi hiyo, amehudumu katika taasisi hiyo tangu kuanzishwa kwake. Ni wazi kwamba huyu ni kati ya wanawake wa shoka wa kuaminika kabisa.
.
Katika miaka yote hiyo, Dr Ellen ameiongoa Taasisi hii kuweka alama muhimu kwenye sekta ya afya : kuongeza rasilimali watu, kupambana na UKIMWI, Malaria na magonjwa mengine, ujenzi wa miundombinu na mambo mengine.
.
Yote hayo tunayatazama kama urithi tulioachiwa na hayati Benjamini Mkapa.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates