Rapper @billnass Ameshare Changamoto Yake Ambayo Amewahi Kukutana Katika Harakati Zake Za Kazi Ambayo Hatoisahau #NENGA Amesema........."Changamoto Za Studio Ni Nyingi Sana Ambazo Nimekutana Nazo Lakini Kitu Ambacho Nakikumbuka Sana Ni Wakati Tunamalizia Wimbo Wangu Wa #MAZOEA Ambao Nimefanya Na @mwanafa Tunakesha Na @mrttouchez Studio Na Bado Nipo Chuoni Na Nilikua Na Vipindi Vya Asubuhi, Hivyo Nilikua Nikikesha Studio Asubuhi Naunganisha Chuo''-
-
"Siku Moja Nikiwa Studio Kwa #TOUCH Kulikuwa Na Gari Nyingi Kwenye Parking Tukiwa Tunaendele Na Session Mida Ya Saaa Kumi Na Moja (Asubuhi) Nakuta Gari Yangu Imeibiwa Kila Kitu Yani Kila Kitu Ambacho Kinaweza Kuchomoka Kwenye Gari Na Ni Siku Ambayo Nilikua Na Mitihani (Chuo), Wezi Waliamua Kunikomoa Tu Na Ni Kipindi Ambacho Nilikuwa Nalihitaji Sana Hilo Gari Kwasababu Ya Mambo Ya Chuo Lakini Pia Promotion Kwa Ajili Ya Wimbo Naotaka Kuuachia, Na Kulikuwa Na Gari Za Watu Wengine Lakini Waliiba Kwenye Gari Langu Tu" @billnass

0 comments:
Post a Comment