Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Monday, July 19, 2021

MILANGO YA USAJILI KWA KLABU YA AZAM FC IMEFUNGUKA KWA MZAMBIA RODGERS KOLA.

 


Tunayofuraha kuwataarifu kuwa tumeingia mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia, Rodgers Kola, kwa usajili huru akitokea Zanaco ya huko.


Mshambuliaji huyo mzoefu, mrefu na mwenye umbo kubwa, amesaini mkataba mbele ya Afisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin 'Popat', utakaomfanya kudumu ndani ya viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2023.

Kola anakuja kuongeza nguvu kwenye safu yetu ya ushambuliaji, kuanzia msimu ujao 2021/2022.

Aidha Kola ambaye wakala wake ni Nir Karin, akiwa Zanaco msimu uliopita, alifunga jumla ya mabao 14 katika mashindano mbalimbali nchini Zambia.

Welcome to Azam FC! @king_kola10 👏🏻👏🏻👏🏻

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates