Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Monday, July 19, 2021

TAFITI ZINAONYESHA YA KUWA KWENYE KUNDI LA WANAUME 10 BHASI 5 WANAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ZIJUE DALILI.


 Dalili zinazoonyesha Kwamba Mwanaume amepungukiwa nguvu za kiume.

1️⃣Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi .

2️⃣Sehemu za Siri Zinasinyaa taratibu baada ya goli moja.

3️⃣Mwili unahisi ganzi pamoja na sehemu za Siri.

4️⃣Hamu inakata ghafla Mara baada ya kutoa Manii ,ule uchangamfu unapotea kabisa.

5️⃣Nyeti zinasimama Vizuri Lakini ukitaka kuingiza kwa mwanamke Zinasinyaa .Hapa Wengi huhisi kwamba Wamerogwa Lakini ukweli Ni Kwamba hawajarogwa .

6️⃣Kupoteza hamu ya tendo la ndoa.

7️⃣kushindwa kurudia Mara ya Pili .unakuta ukishatoa Goli Mara Moja, Basi mashine inakata Moto haisimami Tena hata ufanyeje inazidi kulala.

8️⃣Mashine kulala Ndani ya Nyeti Za Mwanamke,unakuta upo katika ya Game ,mzigo unalala ghafla na kulegea Ndani kwa Ndani.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates