Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Monday, July 26, 2021

MIKOA KUMI YA TANZANIA KIPAUMBELE KUPEWA CHANJO YA CORONA.


 Serikali imepokea msaada wa chanjo ya Corona kutoka Marekani na kueleza kuwa baada ya kujiridhisha kuwa ni salama utolewaji wake utafanyika nchi nzima lakini kwa kuanza na mikoa 10 ya kipaumbele.

Mikoa hiyo ya kipaumbele ni Dar es Salaam, Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya, Arusha, Kigoma, Singida, Dodoma, Iringa na Mtwara.

“Chanjo hii itaanza baada ya watalaamu kujiridhisha, wataalamu wetu wanafanya taratibu za kujiridhisha kabla ya kuanza mchakato wa kuchanja. Ninawaomba wananchi wajitokeze pindi tukianza,” alisema Dkt. Gwajima.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates