Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Monday, July 19, 2021

KABENDERA: KULIKUWA NA MAJARIBIO MAWILI YA KUNIUA KABLA YA KUNIKAMATA


Erick Kabendera ni Mwandishi wa Habari za Kiuchunguzi ambaye aliakamatwa kwa tuhuma za Uhujumu Uchumi na kujihusisha na Genge la Uhalifu na aliachiwa Februari 24, 2020 baada ya kukaa Mahabusu kwa miezi saba

-Akizungumza na BBC Swahili, Erick amesema alinusurika majaribio mawili ya kuuawa ambapo moja lilifanyika nyumbani kwake na walipomkosa walitupa sumu iliyoishia kuwaua mbwa wake
-
Mwanahabari Erick Kabendera alikiri mashtaka aliyotuhumiwa na kuomba msamaha “plea bargain” kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP). Alipoachiwa alitakiwa kulipa fidia ya Tsh. Milioni 172

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates