Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Monday, July 19, 2021

VANESA AKANUSHA KUPATA MTOTO KUPITIA MTANDAO WAKE WA INSTAGRAM.


 ambaye ni mpenzi wake star wa muziki kutokea Marekani🇺🇲 mwenye asili ya Nigeria @rotimi amekanusha uvumi uliokuwa ukienea kwenye mitandao ya kijamii kuwa amebarikiwa kupata mtoto wa kiume


#Vanessa ametumia ukurasa wake wa instagram (Insta-Story) kukanusha taarifa hizo kuwa amepata mtoto pamoja na mpenzi wake huyo

Pia kufuatia taarifa hizo star huyu aliongeza kuwa wanampa presha mama yake mzazi ambaye yupo jijini Arusha hivyo waache kuzusha habari zisizo rasmi

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates