Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, July 13, 2021

BURUDANI; THE WEEKND NA ANGELINA JOLIE PENZINI BILA KIFICHO.

  


@theweeknd na muigizaji kutoka nchini Marekani #AngelinaJolie penzi limenoga sasa, Wawili hao wameonekana tena pamoja kwenye tamasha lililofanyika usiku huko Los Angeles


Penzi la wawili hawa limekuwa sio la kificho tena kwani paparazi wainasa picha yao ya pamoja wakiwa kwenye tamasha la #Mustafa lililofanyika jijini humo nchini Marekani

Pia hivi karibuni kulikuwa na uvumi wawili hawa kuhusishwa kuwa kwenye mahusiano baada ya kuonekana wakipata chakula cha Usiku Giorgio Baldi mjini Los Angeles.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates