Friday, October 22, 2021
LEO MJINI DODOMA RAIS WA BURUNDI EVARISTE NDAYISHIMIYE AWASILI NCHINI.
LEO DODOMA: Rais wa Jamhuri ya Burundi, Évariste Ndayishimiye amewasili Nchini kwa ziara rasmi ya siku tatu (3) na amepokelewa na mwenyeji wake ambaye ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan
Atatembelea na kuweka Jiwe la Msingi katika Kiwanda cha kuzalisha Mbolea ya Asili kinachojengwa Nala, Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment