skip to main |
skip to sidebar
NGULI WA MICHEZO TANZANIA MWALIMU KASHASHA AFARIKI DUNIA.
Tanzia:pigo zito sana kwa tasnia ya michezo Tanzania, nguli wa uchambuzi wa soka Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment