Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, August 17, 2021

MWANAMUZIKI TIWA SAVAGE AWEKA WAZI UJIO WA EP YAKE.


 Staa wa muziki nchini Nigeria @tiwasavage ametangaza tarehe ya kuachia EP yake mpya aliyoipa jina la "Water & Garri"


Tiwa ambaye mara ya mwisho aliachia wimbo miezi nane iliyopita ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandia "Water & Garri out on Friday 20.08.2021"
 
Kwa muda mrefu sana tuliona msanii wa kike kutokea Nigeria bi dada Tiwa savage kumuona akiwa nje ya mchezo wa kutoa EP na Album, mashabiki zake wamefurahia taarifa yake hiyo ya kuwa ijumaa hii ataachia Ep yake ambayo inaitwa Water & Garri kwa hiyo tukae mkao wa kula kuona ujio huo wa Queen savage utakuwa na mashiko makubwa kwa mashabiki zake, japo kuwa bado hajaweka wazi majina ya nyimbo zitakazo patikana kwenye Ep hiyo.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates