Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, August 13, 2021

DAKTARI AUGUSTINE MASSAWE AFARIKI DUNIA.


 Leo imetokea taarifa ya msiba wa Daktari bingwa wa magonjwa ya watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Augustine Massawe ambapo amefariki dunia katika hospitali hiyo, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma Muhimbili, Aminiel Aligaesha amethibitisha.


Hapa aliwahi kuongea wakati alipoalikwa kwenye tukio ambali Taasisi ya Doris Mollel iliingia mkataba ba Jamii Forum kwa ajili ya utoaji taarifa kuhusu elimu ya mtoto njiti na Daktari Massawe alikuwepo kwa ajili ya utoaji wa elimu hiyo kitaalamu zaidi na kumuelezea mtoto Njiti yupoje.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates