Siku zote kwenye maisha usikate tamaa au kudharau kazi ambayo inakuwezesha kusogeza maisha kwa kipindi fulani
Hilo limethibitishwa na Rapa kutokea nchini Marekani 🇺🇲 @richforever kabla ya mafanikio yake alikuwa anafanya kazi ya kuosha magari (CAR WASH)
Rozay anasema kuwa alifanya kazi hiyo ambapo kwa siku alikuwa anapokea dola 30 ambazo ni shilingi elfu 69
Hadi hivi sasa Rapa huyu ni mmiliki wa majumba ya kifahari nchini humo pamoja na magari yenye thamani zaidi ya 100
Pia utajiri wa #Rozay unakadiriwa kuwa ni takribani "$40 Million" ambazo ni sawa na Bilioni 92.7 za kitanzani

0 comments:
Post a Comment