Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, July 16, 2021

MANGE KIMAMBI ATOA SOMO ZITO LA MALEZI KWA MUIGIZAJI KAJALA.

 


Kajala wewe ndo mama mbovu Tanzania nzima. Yani wewe hujui maana ya kuwa mama. Na kwa sababu hii huyo mtoto 10 years from now atakuwa ulipo Wewe sasa hivi. Maana unampitisha mule mule ulipopita wewe. Yani kila mistake uliyofanya wewe kwenyw maisha yako ndo unampitisha na mwanao.

I’m not saying mimi ni mama bora. Mimi nna issue pia na binti yangu aliekuwa UK though we are both trying very hard to make things better. Ila wewe Kajala humlindi huyo mtoto na evils of this world ila unamshika mkono na unam lead towards evil

Ndio sometimes kuna watoto wanazibuka na wazazi wanawashindwa ila wewe its different aisee. Aisee nimeishi na wazungu miaka mingi ila hata wamama wazungu sionagi wakifanya huu upuuzi na watoto wao teenagers, Kajala 2 weeks ago umeonekana asubuhi unampick up Paula hotelini alipokuwa kalala na huyo bwanake, Kweli mtoto anamaliza kuchezea Dyudyu la yuyu alafu mama unaenda kumchukua asubuhi? 😤😤

Haki aisee sometimes kuzaliwa na uzuri it’s a curse. Paula kinachomponza hapa ni kuzaliwa mzuri. Ila mastaa wangapi TZ walikuwa wazuri age ya Paula ila hadi leo wamedoda, Kajala mwenyewe enzi zake alikuwa mzuri mara 10 ya Paula, uzuri umemsaidia nini? Sasa why anataka na mtoto ategemee uzuri?

Paula sio wa kulaumiwa mimi pia nishapitia hiyo age ya kupenda mwanaume kupita kiasi Ila kilichofanya baadae nkarudi shule na kumaliza chuo ni sababu nilikuwa na mzazi ambae hakunisapoti hata chembe kwenye huo upumbavu.

Seriously I feel so bad for Paula.Hana mtu wa kumprotect na kumlead hapa duniani. Hata kama huyo RayVanny akimuoa so what? She is too young for marriage. Huyo RayVanny atamchoka tu baadae.Then what? 

Alafu Kajala kama una ubinadamu unatakiwa uombe msamaha publicly kwa Hamisa. Ulimchafua mnooo, leo mtoto wako anatomb** mbele yako mwenyewe. Ukaja kujiliza kwangu na story ndefu mpaka nikakuamini nikaacha kumsapoti Misa nikaa mbali , kumbe Misa hakuwa na kosa. Mpaka leo mi na Misa hatuongei sababu ya ile issue alafu leo wewe ndo unasapoti kile kile ulichokilalamikia. Kajala una laana wewe.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates