Monday, July 26, 2021
MANENO YA WADAU KUHUSU CHADEMA NA KATIBA MPYA.
Tatizo lenu Chadema ni kuwatumikia wanaowatuma ambao majuzi wamewapa Double Cabin 43 mzitumie kudai Katiba Mpya .....Najua kwamba siku hizi mmegoma Kuchukua Ruzuku ya Serikali kwa akili ya haraka haraka waliowapa hayo magari ndio wanaowapa kiburi cha kuamini ....CHAMA CHENYE MBUNGE MMOJA KINAWEZA KUBADILI KATIBA YA WANANCHI MILLIONI 60.na against WABUNGE ALMOST 400 WA CCM....Seriously ni Mwendawazimu tu anayeweza kuamini hizi AKILI NDOGO SANA.....WOTE TUNAJUA KWAMBA RAIS WA JAMHURI HANA UWEZO WA KUBADILI KATIBA ni Bunge tu la Jamhuri ndilo lenye mamlaka ya KISHERIA YA KUBADILI SHERIA YOYOTE YA JAMHURI ......Bunge la CCM linabadilishaje Sheria kwa kulazimishwa na Chama chenye Mbunge mmoja? ......IT is A PURE NONESENSE THINKING! .....eti wengine wanajilinganisha na Mandela ni ujuha wa hali ya juu sana Mandela hakuwahi kutumiwa na Wazungu NEVER! ....HALAFU KILA SIKU WANASAHAU KWAMBA TANZANIA NI YETU SOTE . ...MIMI BINAFSI SIHITAJI KATIBA MPYA CAUSE HII YA ZAMANI SIJAIELEWA KWANINI SINA PESA .....tatizo langu ni KUJAZA MAPESA MFUKONI MWANGU sio Makatiba siwezi KULA KATIBA MPYA U KNOW ......Chadema kabla hamjaanza kushindana na Serikali kuhusu KATIBA MPYA angalau mngejitahidi KUTUELIMISHA SISI WANANCHI KAMA KWELI KUNA UMUHIMU WA KUWA NA KATIBA MPYA ......ila uamuzi wa kujiamulia kuchukua SHERIA MKONONI MWENU na kuanza kuvunja Sheria za Jamhuri kwa madai eti mnadai Katiba Mpya MNATUKOSEA SANA SISI WANANCHI TUNAOTAKA MAPESA MFUKONI .....yaani Katiba ya Chama Chenu inayomruhusu Mwenyekiti kuwa huyo huyo kwa Miaka 25 ni bora kuliko ya Jamhuri ya Rais kwa Miaka 10? .....PLEASE TUPENI BREAK KIDOGO ......tunapigana kutafuta pes a maisha ni magumu U know .....au niachieni my AMERICAN SPIRIT! RAIS SAMIA KANYAGA TWENDE TUMECHELEWA SANA U KNOW! - @lemutuz_superbrand
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment