Man United imethibitisha kufikia makubaliano ya kumsajili beki wa kimataifa wa Ufaransa Raphael Varane anayekipiga na Real Madrid ya Hispania.
Makombe aliyowahi kutwaa Varane.
World Cup 🏆
Champions League 🏆🏆🏆🏆
La Liga 🏆🏆🏆
Copa del Rey 🏆
Supercopa 🏆🏆🏆
Club World Cup 🏆🏆🏆🏆
UEFA Supercup 🏆🏆

0 comments:
Post a Comment