Friday, July 23, 2021
KIM KARDASHIAN, KHOLE NA KARDASHIAN PAMOJA NA WATOTO WA KANYE WATIMBA KWENYE ALBUM LISTENING PARTY YA KANYE WEST.
Pengine kama zingetoa tuzo za Best Night, basi usiku wa kuamkia leo ungeondoka na tuzo ya heshima kwani lilifanyika tukio kubwa na la kihistoria kwenye muziki wa Kanye West pale ambapo aliwakutanisha maelfu ya mashabiki zake na wadau kwenye usikilizaji wa album yake mpya "DONDA" uliofanyika katika uwanja wa Mercedez Benz mjini Atlanta.Kwenye uwanja huo ambao unabeba watu 71,000 walionekana pia Kim Kardashian, Khloe Kardashian pamoja na watoto wa Kanye ambao walitimba na mama yao. Hii imeleta taswira mpya kwenye mahusiano yao ukizingatia wapo kwenye mchakato wa kutalikiana baada ya kudumu kwenye ndoa kwa miaka 7.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment