Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Friday, July 23, 2021

DR. DRE ATAKIWA KUMLIPA ALIYEKUWA MKE WAKE ZAIDI YA MILION 695 KILA MWEZI.


 Wakati sakata la talaka kati ya Dr. Dre na aliyekuwa mkewe Nicole Young likiendelea mahakamani, Jaji ametoa uamuzi wa kipengele cha pesa za msaada kwa mwenzi ambazo Dre alitakiwa kulipa.


Kwa mujibu wa mtandao wa The Blast, mahakama imemuamuru mtayarishaji huyo mkongwe wa muziki kulipa kiasi cha takribani ($300K) zaidi ya TSh. 695M kila mwezi kama pesa za msaada kwa mwenza wake (Spousal Support)

Nicole Young alifungua shauri la talaka mahakamani akiomba kuachana na Dre ambaye ndoa yao ilidumu kwa miaka 25, kwa pamoja na wana watoto wawili, Truice (23) na Truly (19)

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates