Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, July 20, 2021

KESI YA SABAYA SHAHIDI HAJAFIKA MAHAKAMANI.

 


Kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili Lengai Ole Sabaya, Daniel Mbura pamoja na Silvester Nyegu imeahirishwa hadi July 22,2021 baada ya shahidi aliyekuwa akitoa ushahidi kushindwa kufika Mahakamani kutokana na imani ya dini ambapo imeelezwa Mahakamani hapo kuwa yupo kwenye Sikukuu ya Eid al-Adha.

Jana Jully 19, 2021 Mohamed Saadi ambaye alikuwa shahidi upande wa Jamhuri alitoa ushahidi wake akifuatiwa na Noman Jasin ambaye hakuweza kumalizia kutoa ushahidi wake kutokana na suala la muda.
(📹 via @ayotv_ )

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates