Hapana shaka kua Jina la Ice Cube lina heshima mno pwani ya magharibi kwani mi mmoja wa waasisi wa ile ilioitwa Gangsta Rap katika ukanda huo.
pengine Ice cube aliwafungua macho wanahiphop wengi waliofanya kama utamaduni tu na sio biashara.
Tuache hayo Cube ni legend West Coast na America kwa ujumla lakini ameushangaza umma wa Hip-hop/Rap kwa kutokumjumuisha 2 Pac shakur kwenye list ya Mc 15 anaoona ni bora wa muda wote.
Cube aliwataja Mc wengi bora lakin hakumjumuisha Pac anaeaminika na wengi kua moja ya Mc /rappers bora wa muda wote.
Baadhi ya Mc's ambao Cube aliwataja ni Melle Mal,Krs One,Snoop Dogg,Eminem,Biggie,Jay ,Nas,Lil wayne na kadhalika.(tazama video yote kuwajua waliobakia)
Hii si mara ya kwanza kwa Cube kutomtaja Pac kwenye list yake na kwa jamii ya wanahiphop huzua mjadala mkubwa kua Pac aliwahi kua nashida na Cube ama nini kinachomfanya asimjumuishe.
Anyways Cube ni moja wa wanahiphop watata na wenye msimamo

0 comments:
Post a Comment