
Hotel ya Rungwe Palace iliyopo Kariakoo mtaa wa Livingston na Mahiwa yaungua na moto muda huu. Mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijafahamika, na hakuna aliyejeruhiwa.
Kwa taarifa zilizotufikia Jeshi la Zima moto tayari limeshafika eneo la tukio kwaajili ya Kukabikiana na moto huo.
0 comments:
Post a Comment