Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, July 13, 2021

BURUDANI; KAJALA AFUTA TATTOO YA HARMONIZE.




Wakiwa kwenye mahusiano yaliyoshibana kipindi cha nyuma  Mwanamuziki Harmonize pamoja na Muigizaji Kajala walifikia hatua ya kila mmoja kuchora tattoo ya herufi ya kwanza ya jina la mwenzie. Baada ya kuachana Harmonize alikua wa kwanza kufuta/ kubadili tattoo ile ambayo kwake ilisomeka K

Sasa leo kupitia instastory kwenye ukurasa wa Instagram wa binti yake Paula, amepost video ikionesha @kajalafrida akiwa anaibadili ile tattoo kutoka H hadi kuchora maua 😀

Neno moja kwa Kajala.



0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates