Ambilikile Mwasapile maarufu kama ‘Babu wa Loliondo’ amefariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Digodigo
-
Babu wa Loliondo inadaiwa aliugua muda mrefu na akawa akijitibu kwa miti shamba, alipoenda hospitali leo saa sita alikuwa amechelewa, akafariki saa nane
-
Babu wa Loliondo alipata umaarufu kwa dawa yake aliyodai inatibu magonjwa yote
0 comments:
Post a Comment