Tuesday, July 20, 2021
2 CHAINZ RASMI ATANGAZA KUACHA MUZIKI KWA KUACHIA ALBUM YA MWISHO.
Kila lenye mwanzo lina mwisho, hilo halipingiki. Rapa #2Chainz ameweka wazi kuwa ataachia Album ya MWISHO ya aina ya muziki anaoufanya kwasasa ambao ni 'Trap'.#2Chainz alitoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter; “This gone be my last trap album, enjoy,” Hii inaenda kuwa albamu yangu ya MWISHO ya Trap, Ifurahiye"
Hata hivyo, rapa huyo mzaliwa wa Atlanta (Tity Boi) hajaweka wazi ni lini ataiachia album hiyo na jina la album linaitwaje.
Trap ni aina ya muziki ambao #2Chainz alianza nao katika safari yake ya muziki mnamo mwaka 2010. Tutarajie kumuona #2Chainz kwenye aina nyingine ya muziki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment