hapo mwanzo GSM kupitia timu yetu ya wataalamu wa mdani tulikuwa tunafanya shughuli zote za ubunifu, uzalishaji, na usambazaji wa jezi. Safari hii tumeona tutoe nafasi kwa watanzania wengine ambao wana ujuzi na katika ubunifu wa jezi, aliyesimamia hilo ni Sheria Ngowi “
Kuhusu engo ya mitindo na ubunifu ni wazi Sheria Ngowi ni mtu sahihi Yanga kumtumia kwa sasa kwanza anafahamu ulimwengu wa mavazi unataka nini, anafahamu ipi ni dizain nzuri kwa wapenda mitindo ndio maana tumeona jezi mpya za Yanga unaweza kuvalia jeans au pensi hiyo ndio maana ya fashion.
.- Enh. Hersi Said.

0 comments:
Post a Comment