Kim Kardashian bado anathamini mchango mkubwa wa Kanye West licha ya kuachana, amethibitisha kwamba Kanye alimsaidia kujenga kujiamini katika maisha yake. Kwenye mazungumzo na Podcast ya 'We Are Supported By...' Kim alimsifia Kanye kwa kumjenga kujikubali, kujiamini na kuacha kumnyenyekea kila mtu, alisema;-
"Kuwa kwenye mahusiano na Kanye kwa zaidi ya muongo mmoja, mtu ambaye hajali lolote wala chochote kwa namna ambavyo watu wanamchukulia, anachojali ni kuwa yeye. Hii ilinifundisha sana kuwa Mimi." alisema Kim Kardashian.

0 comments:
Post a Comment