Friday, August 20, 2021
BILLNASS: MSIMUINGIZE MWANANGU KWENYE SKENDO CHAFU.
Mwanamziki Mahili Hapa Tanzania (@billnass ) Amefunguka kuwa Hapendi Mwanae Azungumziwe kwenye Tofauti yake na Mpenzi wake Wa siku Nyingi (@officialnandy ).
"Sipendi Kabisa Mtoto Mdogo Ambaye Hajui Chochote Kuingizwa kwenye Mambo Yangu Na Huyo Mdada Mnaesema Tumeachana, Naombeni Muachane Mwanangu Jamani"-Amefunguka (@billnass )
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment