Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Thursday, July 29, 2021

MAISHA MAZURI YANAANZIA KWENYE IMANI YAKO.

 


-Ni bora kufa na heshima yako kuliko heshima kufa ndani yako.Usiombe heshima sababu,heshima ni zawadi ambayo mwanadamu anapewa baada ya yeye kuitoa heshima. @petitman_wakuache umekua bora baadabya dharau ya heshima kwako .


@petitman_wakuache , kupitia furaha hii nakwambia ,Hupaswi kuitafuta pesa ukiwa hauna furaha ,sababu hauwezi ipata pesa ukiwa na simanzi na chuki,ukiitafuta furaha na ukawa na amani,pesa huwa karibu na wewe .

@petitman_wakuache dharau ulizo pitia zimenifunza kua Emotional Guidance System,ni elimu nzuri inayohitaji utulivu na akili kuweza kutengeneza paradiso bora ya mawazo mazuri na fikiria chanya katika nyakati ngumu.

Hongera @petitman_wakuache ila naomba Uuruhusu mwili waki kuzeeka lakini kuwa na fikira chanya ,fikira bora kuliko vijana wa mwili na fikira za kizeee sababu ubongo ni software inayoendesha mwili wa binadamu kwa msaada wa processer "moyo" wa Binadamu.

Young Forever By Jay Z.

Let's dance in style
Let's dance for a while

Cause there is no tomorrow
Just some picture perfect day
To last a whole lifetime
And it never ends. Hongera komredi kwa kichanga @petit_junior01 . #Amekuheshimisha Shemeji .

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates