Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Sunday, July 11, 2021

KIM JOUNG UN; HAKUNA MTU KUPIGA KURA YA UCHAGUZI ZAIDI YAKE KOREA.

 


 


Kim Jong-un (matamshi ya Kikorea: [kim.dzʌŋ.ɯn] au [kim.tsʌŋ.ɯn]; alizaliwa 8 Januari 1982-1984 au 5 Julai 1984) ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Korea (WPK) na kiongozi mkuu wa Korea ya Kaskazini.

Kim ni mtoto wa pili wa Kim Jong-il (1941-2011) na Ko Yong-hui. Kabla ya kuchukua madaraka, Kim alikuwa haonekani mara kwa mara kwa umma. Maelezo kama vile mwaka gani alizaliwa, na kama alienda kweli shule nchini Uswisi akitumia jina la uongo, ni vigumu kuthibitisha.

Tangu mwaka 2009 taarifa zilianza kutokea kuwa Kim aliteuliwa kumfuata baba yake aliyekuwa mgonjwa, akipewa nafasi katika kamati ya kijeshi[1]. Nyimbo zilianza kutungwa za kusifu familia ya Kim zikitaja jina la Kim Jong-Un.[2] Mwaka 2010 alipewa cheo cha jenerali jeshini na kuwa makamu wa mwenyekiti wa kamati kuu ya kusimamia jeshi[3].

Kim alitangazwa kuwa kiongozi mkuu baada ya mazishi ya baba yake tarehe 28 Desemba 2011. Vyeo vyake ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Korea, Mwenyekiti wa Tume Kuu ya Kijeshi, Mwenyekiti wa Tume ya Mambo ya Ndani, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Watu wa Korea, na mwanachama wa Kamati ya Kudumu ya Politburo ya Chama cha Wafanyakazi wa Korea. Mamo tarehe 9 Machi 2014, Kim Jong-un alichaguliwa bila kupingwa kuingia katika Bunge Kuu la Watu. Kim ana shahada mbili, moja ya fizikia kutoka Chuo Kikuu cha Kim Il-sung, na nyigine kama afisa wa Jeshi katika Chuo Kikuu cha Jeshi cha Kim Il-sung.

Tarehe 12 Desemba 2013, vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vilitangaza kwamba kwa sababu ya "udanganyifu," aliamuru mauaji ya mjomba wake Jang Song-thaek. Kim Jong-un anaaminika kuwa ndiye aliyeamuru mauaji ya kaka yake wa kambo, Kim Jong-nam nchini Malaysia mwezi Februari 2017.Mara zote duniani kuna kuwa na utaratibu wa kufanya uchaguzi kwa viongozi wa nchi ikiwemo Raisi na wabunge ni kila baada ya miaka 4 au 5 lakini kwa Korea kaskazini ni tofauti kidogo kila inapofika wakati wa uchaguzi kaika nchi hyo bhasi ni ruhusa kwa Kim jung _un yeye pekee ndio anayepata ruhusa ya kupiga kura.

         Mwandishi; F.A.Maige.

       Simu no.0657 129 225.

  Usipitwe na ukarasa huu kila wakati.

 

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates