Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Wednesday, July 28, 2021

ALIYEKUWA MSEMAJI WA SIMBA HAJI MARANA HAYUPO TENA SIMBA,

  


Bodi ya Wakurugenzi ya club ya Simba leo imemtangaza mwanahabari mkongwe Ezekiel Kimwaga kuwa kaimu mkuu wa idara ya habari ya Simba SC kwa kipindi cha miezi miwili ili kusaidia kujenga mfumo wa idara hiyo.

Kamwaga atakaimu nafasi hiyo ambayo awali alikuwa akiitumikia Haji Manara, hivyo baada ya wiki kadhaa Simba itatangaza nafasi za ajira katika idara yao ya habar

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates