Social Icons

NIFA AD

NIFA AD

NIFAAAA

NIFAAAA

Tuesday, July 13, 2021

MBOZI; MBUNGE ATOA MAGUNIA 100 YA MAHINDI KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE.


 Mbunge wa Jimbo la Mbozi, George Mwenisongole ametoa magunia 100 ya mahindi na mengine 20 ya mchele vyote kwa pamoja vikiwa na thamani ya Sh. Million 5.88 kwa ajili ya chakula cha wanafunzi wa kidato 4 walioweka kambi mashuleni wakijiandaa na mitihani ya kuhitimu kidato cha nne.


Aidha mwenisongole pia ametoa Zawadi ya Sh 200,000 kwa kila Mwanafunzi aliyepata ufaulu wa daraja LA kwanza (DIV. I) kwa mitihani ya kuhitimu kidato cha 4 kwa mwaka 2020 ambao walifaulu wakiwa 25 kutoka Shule za sekondari ndani ya Jimbo la Mbozi na kuwataka kuendelea kusoma kwa bidii.

0 comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates